DODOMA
DKT.BITEKO AWAASA TLS KUSIMAMIA HAKI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mawakili kusimamia...
WATAKAOFANYA UNUNUZI NJE YA MFUMO WA NeST KUFUNGWA JELA.
WATUMISHI wa Serikali watakaofanya ununuzi wa Umma nje ya Mfumo wa NeST watakuwa wamefanya kosa la jinai, na kukabiliwa na...
RAIS DKT.SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MASHUJAA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho...
MITUNGI YA GESI YA SH. BILIONI KUMI KUTOLEWA NA SERIKALI 2024/25- MHE.KAPINGA
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika mwaka huu wa fedha...
Waziri Mkuu: Serikali Kutumia Bilioni 42 Mradi Wa Maji Muleba
*Ni za mpango wa Serikali wa kusambaza maji hadi vijijini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepanga kujenga mradi wa maji...
Waziri Jafo Aipa Kongole STAMICO Kwa Utunzajia Mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa pongezi kwa Shirika la...
Waziri Mkuu Akagua Kituo Cha Afya Kakunyu , Atoa Siku 5 Kianze Kutoa Huduma
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa kituo cha afya cha Kakunyu kilichopo km. 75 kutoka tarafa ya Bunazi,...
TANESCO Watakiwa Kukamilisha Ujenzi Wa Miundombinu Ya Umeme Katika Mji Wa Serikali Dodoma
Na Mwandishi Wetu, DodomaSHIRIKA la Umeme Nchini (TANESCO) limetakiwa kukamilisha kwa wakati mradi wa ujenzi wa Miundombinu ya umeme wa...