MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI MKUTANO WA IDADI YA WATU HUNGARY
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novàk
wakati alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Museum of fine arts Jijini
Budapest nchini Hungary kushiriki Mkutano wa Tano wa Idadi ya Watu (5 th
Budapest Demographic Summit) unaofanyika leo tarehe 14 Septemba 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Museum of fine arts Jijini
Budapest nchini Hungary kushiriki Mkutano wa Tano wa Idadi ya Watu (5 th
Budapest Demographic Summit) unaofanyika leo tarehe 14 Septemba 2023.