November 15, 2024

Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mshtaka Wakutana kuweka Mikakati ya Kazi

0

 Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Bi. Javelin Rugaihuruza akifungua kikao kazi baina ya Menejimenti na Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Makao Makuu na Mkoa wa Dodoma kilichofanyika tarehe 9 Septemba, 2023 Jijini Dodoma.


Kikao hicho kimelenga kujadililiana masuala mbalimbali ya kiutendaji zikiwepo changamoto wanazokutana nazo wakati wa utekelezaji wao wa majukumu.


Sambamba na hilo Kaimu Naibu Mkurugenzi amewataka watumishi hao kuongeza juhudi katika utendaji kazi wao wa kila siku ili kuweza kufikia malengo yaliyokusudiwa na taasisi  katika kuwahudumia wananchi na kuhakikisha Haki, Amani na Usalama vinapatikana kwa wakati.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You cannot copy content of this page