Tanzania Kuwa Mwenyeji Mkutano Mkuu Wa Jukwaa La Majaji Wakuu Nchi Wanachama Kutoka Kusini Na Mashariki Africa
Na ValentineOforo, Dodoma
TANZANIA
inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa
Nchi Wanachama kutoka Kusini na Mashariki mwa Afrika utakaofanyika
Jijini Arusha kuanzia Oktoba 23 hadi 27 mwaka 2023.

Kauli
hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na
Uratibu), Dkt. Jim Yonazi wakati akiongoza kikao cha maandalizi ya
mkutano huo kilichohudhuriwa na Makatibu Wakuu ili kuwa na uelewa wa
pamoja kuhusu masuala muhimu yatakayojadiliwa.

Dkt.
Yonazi amesema mgeni rasmi katika mkutano huo anatarajiwa kuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan,
ambapo nchi wanachama wa jukwaa hilo ni pamoja na Kenya, Uganda,
Namibia, Zimbabwe, Eswatini, Msumbiji, Seychelles,

Botswana.
Nchi
nyingine ni Angola, Zanzibar, Malawi, Lesotho, Mauritius, Zambia na
Afrika ya Kusini ambapo mkutano huo utafanyika chini ya kauli mbiu
isemayo “Jukumu la Mahakama za Nchi Wanachama katika Utatuzi wa Migogoro
chini ya Utangamano wa eneo Huru la Biashara la Afrika: Matumizi ya
Teknolojia ya Kisasa kwa Ufanisi katika Utoaji Haki”